» » Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa leo Novemba 22, 2023 ametembelea banda la Ofisi ya Rais TAMISEMI

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa  leo Novemba 22, 2023 ametembelea banda la Ofisi ya Rais TAMISEMI  katika maonesho ya Wiki ya Huduma  ya Huduma za Fedha Kitaifa  inayofanyika katika Jiji la  Arusha

Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA kutoka Ofisi ya Rais TAMISEMI  Erick Kitali ameelezea  ushiriki wa TAMISEMI katika utoaji wa huduma ndogo za Fedha  katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles