» » VITABU NA WAANDISHI

BIBLIA NI KITABU CHA PEKEE
 Pekee sana. Tafadhali shirikisha wengine baada ya kuisoma.

    VITABU NA WAANDISHI
1) Mwanzo:          Musa
2) Kutoka:           Musa
3) Mambo ya Walawi:      Musa
4) Hesabu:        Musa
5) Kumbukumbu la Torati: Musa
6) Yoshua:            Yoshua
7) Waamuzi:            Samueli
8)  Ruthu:                 Samueli
9) 1 Samueli:         Samueli; Gadi; Nathani
10) 2 Samueli:     Gadi; Nathani
11) 1 Wafalme:        Yeremia
12) 2 Wafalme:         Yeremia
13) 1 Mambo ya Nyakati: Ezra
14) 2 Mambo ya Nyakati: Ezra
15) Ezra:                Ezra
16) Nehemia:     Nehemia
17) Esta:           Modekai
18) Uyubu:                 Musa
19) Zaburi:           Daudi na Wengineo
20) Methali:         Solomoni; Agur; Lemueli
21) Mhubiri:   Solomoni
22) Wimbo wa Nyakati: Solomoni
23) Isaya:                Isaya
24) Yeremia:        Yeremia
25) Maombolezi: Yeremia
26) Ezekieli:            Ezekieli
27) Danieli:             Danieli
28) Hosea:            Hosea
29) Yoeli:               Yoeli
30) Amosi:            Amosi
31) Obadia:       Obadia
32) Yona:           Yona
33) Mika:           Mika
34) Nahumu:         Nahumu
35) Habakuki:    Habakuki
36) Zefania:   Zefania
37) Hagai:         Hagai
38) Zakaria:    Zakaria
39) Malaki:       Malaki
40) Matayo:     Mathayo
41) Marko:           Marko
42) Luka:           Luka
43) Yohana:           Mtume Yohana
44) Matendo ya Mitume:             Luka
45) Warumi:       Paulo
46) 1 Wakorintho:  Paulo
47) 2 Wakorintho:  Paulo
48) Wagalatia:        Paulo
49) Waefeso:      Paulo
50) Wafilipi:     Paulo
51) Wakolosai:     Paulo
52) 1 Wathesalonike: Paulo
53) 2 Wathesalonike: Paulo
54) 1 Timotheo:            Paulo
55) 2 Timotheo:            Paulo
56) Tito:                    Paulo
57) Filemoni:            Paulo
58) Wahebrania:      Mwandishi hajulikani
59) Yakobo:        Yakobo ( Kaka yake Yesu)
60) 1 Petro:    Petro
61) 2 Petro:    Petro
62) 1 Yohana:   Mtume Yohana
63) 2 Yohana:    Mtume Yohana
64) 3 Yohana:    Mtume Yohana
65) Yuda:       Yuda (Kaka yake Yesu)
66) Ufunuo wa Yohana: Mtume Yohana

*TAKWIMU ZA BIBLIA*

*Mambo ya kushangaza ya Biblia, Ukweli na Takwimu*
πŸ‘‰πŸΌ Idadi ya vitabu vya Biblia: *66*
πŸ‘‰πŸΌ Sura (Milango): 1,189
πŸ‘‰πŸΌ Mafungu: 31,101
πŸ‘‰πŸΌ Maneno: 783,137
πŸ‘‰πŸΌ Herufi: 3,566,480
πŸ‘‰πŸΌ Ahadi zilizotolewa katika Biblia: 1,260                       πŸ‘‰Amri: 6,468
πŸ‘‰πŸΌ Utabiri: zaidi ya 8,000
πŸ‘‰πŸΌ Uabii uliotimia: mafungu 3,268
πŸ‘‰πŸΌ Unabii ambao haujatimia bado: 3,140
πŸ‘‰πŸΌ Idadi ya maswali: 3,294
πŸ‘‰πŸΌJina refu zaidi: Mahershalalhashbaz (Isaya 8:1)
πŸ‘‰πŸΌ Fungu refu zaidi: Esta 8:9 (maneno 78)
πŸ‘‰πŸΌ Fungu fupi zaidi: Yohana 11:35 (maneno mawili: "Yesu Akalia" au, "(Akaomboleza)" .
πŸ‘‰πŸΌ Vyuo (vitabu) vya kati: Mika na Nahumu
πŸ‘‰πŸΌ Sura ya katikati: Zaburi 117
πŸ‘‰πŸΌ Sura fupi zaidi (kwa maneno machache): Zaburi 117
πŸ‘‰πŸΌ Kitabu kirefu zaidi (Sura 150)
πŸ‘‰πŸΌ Kitabu kifupi zaidi (kwa hesabu ya maneno): 3 Yohana
πŸ‘‰πŸΌ Sura: Zaburi 119 (Fungu 176)
πŸ‘‰πŸΌ Hesabu ya neno *"Mungu"*  katika Biblia: 3,358
πŸ‘‰πŸΌ Hesabu ya neno *"Bwana"*  : 7,736
πŸ‘‰πŸΌ Waandishi tofauti tofauti: 40
πŸ‘‰πŸΌ Idadi ya lugha (tafsiri) tofauti tofauti za Biblia zaidi ya 1,200

*TAKWIMU ZA AGANO LA KALE:*

πŸ‘‰πŸΌ Hesabu ya vitabu: 39
πŸ‘‰πŸΌ Sura: 929
πŸ‘‰πŸΌ Mafungu: 23,114
πŸ‘‰πŸΌ Maneno: 602,585
πŸ‘‰πŸΌ Mafungu: 2,278,100
πŸ‘‰πŸΌ Kitabu cha kati: Zaburi
πŸ‘‰πŸΌ Sura ya katikati: Ayubu 20
πŸ‘‰πŸΌ Mafungu ya katikati: 2 Mambo ya Nyakati 20:17,18
πŸ‘‰πŸΌ Kitabu kidogo zaidi: Obadia
πŸ‘‰πŸΌ  Fungu fupi zaidi: 1 Mambo ya Nyakati 1:25
πŸ‘‰πŸΌ Fungu refu zaidi: Esta 8:9 (maneno 78)
πŸ‘‰πŸΌ Sura ndefu zaidi: Zaburi 119

*TAKWIMU ZA AGANO JIPYA:*

πŸ‘‰πŸΌ Hesabu ya Vitabu: 27
πŸ‘‰πŸΌ Hesabu ya Sura: 260
πŸ‘‰πŸΌ Hesabu ya mafungu: 7,957
πŸ‘‰πŸΌ Maneno: 180,552
πŸ‘‰πŸΌ Herufi: 838,380
πŸ‘‰πŸΌ Kitabu cha kati: 2 Wathesalonike
πŸ‘‰πŸΌ Sura ya kati: Warumi 8, 9
πŸ‘‰πŸΌ Fungu la katikati: Matendo ya Mitume 27:17
πŸ‘‰πŸΌ Kitabu kifupi zaidi: 3 Yohana
πŸ‘‰πŸΌ Fungu fupi zaidi: Yohana 11:35
πŸ‘‰πŸΌ Fungu refu zaidi: Ufunuo wa Yohana 20:4 (maneno 68)
πŸ‘‰πŸΌSura ndefu zaidi: Luka 1

Kuna maneno 8,674 ya Kihebrania katika Biblia, na maneno tofauti ya kigiriki 5,624, na maneno tofauti ya kiingereza 12,143 katika tafsiri ya 'King James Version'.

• Biblia imeandikwa na kadri ya waandishi 40 
• Imeandikwa kwa muda wa miaka 1,600
• Imeandikwa kwa vizazi 40
• Imeandikwa kwa lugha tatu: Kiebrenia, Kigiriki na Kiaramaiki
• Imeandikwa katika mabara matatu: Ulaya, Asia na Afrika
• Imeandikwa katika maeneo tofauti: nyikani, kifungoni, ikulu, gerezani,  uhamishoni, na nyumbani
• Imeandikwa na watu wa taaluma mbalimbali (kazi) aina zote: wafalme, fukara (maskini), madaktari, wavuvi, watoza ushuru, wasomi, n.k.
• Imeandikwa katika nyakati au hali tofauti: za vita, amani, umaskini (ufukara), utajiri (ustawi), uhuru na utumwa
• Imeandikwa katika hali au hisia tofauti tofauti: katika vilele vya  furaha hadi vilindi vya kukata tamaa
• Imeandikwa katika makubaliano makuu ya umoja kwa malengo mapana na tofauti ya mambo na mafundisho.

Vitabu 10 virefu sana katika Biblia

1)  Zaburi - sura 150, mafungu 2,461, maneno 43,743
2) Yeremia -  sura 52, mafungu 1,364, maneno 42,659
3)  Ezekieli - sura 48, mafungu 1,273, maneno 39,407
4)  Mwanzo - sura 50, mafungu 1,533, maneno 38,267
5)  Isaya - sura 66, mafungu 1,292, maneno 37,044
6)  Hesabu - sura 36, mafungu 1,288, maneno 32,902
7)  Kutoka - sura 40, mafungu 1,213, maneno 32,602
8)  Kumbukumbu la Torati - sura 34, mafungu 959, maneno 28,461
9)  2 Mambo ya Nyakati - sura 36, mafungu 822, maneno 26,074
10) Luka - sura 24, mafungu 1,151, maneno 25,944

*Vitabu 10 vifupi zaidi katika Biblia*
1) 3 Yohana - sura 1, mafungu 14, maneno 299
2)  2 Yohana - sura 1, mafungu 13, maneno 303
3)  Filemoni - sura 1, mafungu 25, maneno 445
4)  Yuda - sura 1, mafungu 25, maneno 613
5) Obadia - sura 1, mafungu 21, maneno 670
6)  Tito - sura 3, mafungu 46, maneno 921
7)  2 Wathesalonike - sura 3, mafungu 47, maneno 1,042
8)  Hagai - sura 2, mafungu 38, maneno 1,131
9)  Nahumu - sura 3, mafungu 47, maneno 1,285
10)  Yona - sura 4, mafungu 48, maneno 1,321.

Usiwe mchoyo, shiriki na wengine. Mungu Akubariki.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...