» » Graca Machel kumshtaki daktari wa Nelson Mandela


Haki miliki ya pichaGETTY IMAGESImage captionGraca Machel kumushtaki daktari wa Nelson Mandela

Mjane wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela Graca Machel, amesema atamshtaki daktari wake bwana Mandela, kutokana na taarifa alizochapisha kwenye kitabu kuhusu siku za mwisho za Mandela.

Daktari huyo Vejay Ramlakan aliongoza kikosi kilichomhudumia Mandela hadi kifo chake Disemba mwaka 2013.

Radio ya taifa nchini Musumbiji ilitangaza taarifa iliyotolewa na wakfu wa Bi Machel ikilaani kitabu hicho vikali.

Barua ya Mohammad Ali kwa Mandela yauzwaWinnie Mandela aibiwa dola 6000 kutoka nyumbani kwakeWinnie Mandela aukosoa uongozi wa ANCKathrada, aliyefungwa pamoja na Mandela afarikiJacob Zuma na makamu wake walazimishwa kusalimiana

Bi Machel alisema kuwa kitabu hicho kinakiuka heshima ya bwana Mandela.

Kitabu hicho kimeandika taarifa kuhusu siku za mwisho kabla ya kifo cha Mandela.

Kimetaja kutokuwepo kwa maelewano kati ya madaktari na familia ya Mandela.

Bi Mandela anasema kuwa kitabu hicho kilikiuka siri iliyo kati ya daktai na mgonjwa.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...