» » Waasi wa FARC wafuta kundi hilo Colombia

Waasi hao wataruhusiwa kujiunga na vikosi vya ulinzi vya serikali

Image captionWaasi hao wataruhusiwa kujiunga na vikosi vya ulinzi vya serikali
Hatimaye Waasi wa FARC nchini Colombia wamemaliza rasmi uwepo wa kundi hilo kama kundi lililojihami kufuatia mzozo uliodumu nusu karne ambapo zaidi ya watu robo milioni waliuawa.
Akihutubia hafla karibu na mjini Mesetas, kiongozi wa FARC Rodrigo Londono, amesema kuwa shughuli ya kutwaa silaha kutoka kwa kundi hilo imekamilika hatua ambayo itabadilisha sura ya kundi hilo kuwa vugu vugu la kisiasa.
Rais wa Colombia Juan Manuel Santos amesema taifa hilo linasherehekea siku ambayo silaha zilibadilishwa na maneno ya amani.
Mamia ya vipepeo waliachiliwa katika hafla hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na maafisa wa serikali na waasi waliyovalia mavazi meupe kama ishara ya amani.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles