» » Maseneta Marekani wazuilia mswada wa bima ya Obama

Chini ya mfuko huo, mamia ya watu wanapata huduma ya matibabu bure

Image captionChini ya mfuko huo, mamia ya watu wanapata huduma ya matibabu bure
Maseneta wa Republican nchini Marekani wamesitisha kura dhidi ya mswada uliyopendekezwa wa bima ya matibabu.
Tangazo kutoka kwa kiongozi wa wengi katika bunge hilo, Mitch McConnell, amesema ni pigo jingine kwa juhudi za Republican kufanyia marekebisho bima ya matibabu iliyobuniwa na Barak Obama.
Seneta McConnell alikuwa na mpango wa mswada huo kupigiwa kura wiki hii, lakini maseneta watano wa Republican wamesema wataupinga mswada huo na wakati ambapo chama hicho kinahitaji kura mbili zaidi kupitatisha mswada huo katika bunge la juu.
Baadhi ya watu wamekuwa wakipinga kuondolewa kwa huduma hiyo.
Image captionBaadhi ya watu wamekuwa wakipinga kuondolewa kwa huduma hiyo.
Rais Donald Trump amekutana na maseneta wa Republican katika ikulu ya White House hatua ambayo Bw McConnell amesema itasidia pakubwa katika mchakato wa kuwapatia wamarekani bima mbadala ya matibabu itakayochukua nafasi ya ile iliyopo sasa.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles