» » Mazishi ya walioungua yafanyika Pakistan

Mlipuko huo unatajwa kuwa mkubwa zaidi kwa siku za karibuni nchini humo

Image captionMlipuko huo unatajwa kuwa mkubwa zaidi kwa siku za karibuni nchini humo
Mazishi ya pamoja yamefanyika Pakistan baada ya watu 120 kufariki katika ajali ya moto uliolipuka kutokana na kusuka kwa mpira wa mafuta siku ya Jumapili.
Maombi kwa waliojeruhiwa yalifanyika na kwa waliozikwa pia.
Ulinzi uliimarishwa wakati wa mazishi huku watu hao wakizikwa katika makaburi sita ya pamoja yaliyochimbwa katika kijiji cha Bahawalpur.
Waliozikwa katika makaburi hayo ya pamoja ni wale ambao hawakuweza kufahamika kutokana na kuungua vibaya.
Vipimo zaidi vimechukuliwa na iwapo vitaendana na vya ndugu waliopoteza wapendwa wao wahusika watachukua mwili na kwenda kuuzika tena.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles