» » Trump aitaka mahakama kulinda usalama wa Marekani

Trump anapingwa vikali na wanaharakati kwa kupinga raia wa baadhi ya nchi za kiislam kuingia Marekani

Image captionTrump anapingwa vikali na wanaharakati kwa kupinga raia wa baadhi ya nchi za kiislam kuingia Marekani
Rais Donald Trump wa Marekani, amesema kuwa, agizo la Mahakama kuu nchini humo la kukabaliana na marufuku aliyoitoa yenye utata ya kuwazuia baadhi ya watu kusafiri hadi Marekani kuanza kufanya kazi, ni hatua kubwa kwa usalama wa taifa hilo.
Idara ya mahakama inasema kwamba, marufuku hiyo inaweza kukubaliwa japo kwa kiasi fulani, kwa wasafiri wasio na uhusiano wa moja kwa moja kwa watu au maeneo nchini Marekani huku ikisubiri uamuzi wa mwisho.
Hilo linafaa kuanza kufanya kazi mwezi Oktoba mwaka huu.
Mojawapo ya sera za Trump wakati akigombea kuingia madarakani ilikuwa ni kuzuia raia wa baadhi ya nchi za kiislam kuingia Mrekani.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles