» » Rais wa Brazil ashitakiwa kwa ufisadi

Michel Temer aliingia madarakani mwaka 2016 kuchukua nafasi ya Dilma Rousseff ambaye pia aliondolewa kwa ufisadi

Image captionMichel Temer aliingia madarakani mwaka 2016 kuchukua nafasi ya Dilma Rousseff ambaye pia aliondolewa kwa ufisadi
Mwendesha mashtaka mkuu nchini Brazil, amemhukumu Rais Michel Temer kwa kosa la kupokea hongo, mojawapo ya kosa la kwanza kati ya misururu kadhaa ya makosa chungu nzima ya ufisadi yanayomuandamana kingozi huyo aliyeko mashakani.
Temer amekatalia mbali wito unaotolewa wa kujiuzulu kuhusiana na makosa hayo, huku akisema kuwa hana hatia yoyote.
Mahakama kuu nchini Brazil sasa ndio itakayoamua, ikiwa kesi hiyo itaendelea na kuwasilishwa katika Bunge la uwakilishi, ili kupigiwa kura ya kumuondolea mashtaka Temer au la.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles