» » Marekani yaionya Syria kuhusu shambulio la kemikali

Shambuio la kemikali katika mkoa wa Idlib nchini Syria mnamo mwezi Aprili ambapo takriban watu 80 waliuawa

Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionShambuio la kemikali katika mkoa wa Idlib nchini Syria mnamo mwezi Aprili ambapo takriban watu 80 waliuawa
Marekani inasema kuwa imetambua maandalizi muhimu ya shambulio jingine la kemikali nchini Syria na kutoa onyo kali kwa serikali ya Syria.
Ikulu ya Whitehouse ilisema kuwa vitendo hivyo ni sawa na vile vilivyokuwa vikifanywa kabla ya shambulio la kemikali mnamo mwezi Aprili.
Makumi waliuawa katika shambulio hilo na kumlazimu rais Barrack Obama kutekeleza shambulio dhidi ya kambi moja ya majeshi ya Syria.
Taarifa hiyo ya Syria ilimuonya rais Bashar al Assad kwamba atakiona cha mtema kuni iwapo shambulio jingine litafanyika.
Imesema kuwa shambulio jingine la kemikali litakalotekelezwa na utawala wa Assad litasababisha mauaji ya raia wengi.
Taarifa hiyo iliongeza: Kama tulivyosema hapo awali ,Marekani iko nchini Syria kukabiliana na wapiganaji wa Islamic State kutoka Iraq na Syria.
Hatahivyo iwapo Assad atatekeleza shambulio jingine la kemikali yeye na jeshi lake watakiona cha mtema kuni.


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles