» » Mkurugenzi wa Mkuu wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Amtoa Machozi Rais Magufuli......Ni Baada ya Kufariki Ghafla Akiwa Ofisini


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Joseph Pombe Magufuli amesema amepokea kwa mshtuko mkubwa kifo cha Mkurugenzi Mkuu wa benki ya AFDB Dkt Tonia Kandiero kilichotokea usiku wa jana, na kusema kwamba ni mtu aliyechangia maendeleo Tanzania.

Rais Magufuli ametuma salamu hizo za rambirambi kwa Rais wa benki hiyo Akinwumi Adesina na kusema kuwa Dkt Tonia atamkumbuka kama hodari na mchapakazi katika kipindi cha uhai wake na kwamba kwa kushirikiana kwao kulifanikisha kukamilika kwa miradi mikubwa iliyokuwa chini ya ufadhili wa AFNB.

Kifo cha Dkt Tonia kimetokea usiku wa jana Juni 28 alipokuwa ofisini kwake huko Pretoria Afrika kusini.

==>Hapo chini ni taarifa ya IKULU 

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles