» » Maporomoko ya ardhi yauwa 15 China 100 hawajulikani waliko

Wahudumu wa matibabu wakiendelea kuwasaka manusura

Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionWahudumu wa matibabu wakiendelea kuwasaka manusura
Juhudi zinaendelea za kuwapata manusura wa janga baya la maporomoko ya ardhi katika jimbo la Sichuan nchini China.
Kufikia sasa maiti 15 ya wahasiriwa wa janga hilo la kimaumbile, zimepatikana katika maporomoko hayo ya ardhi katika kijiji cha Xin-mo.
Zaidi ya watu 100 hawajulikani waliko, huku wataalamu walionukuliwa na runinga ya nchi hiyo, wakisema matumaini ya kuwapata wakiwa hai ni finyu mno.
Zaidi ya watu 100 hawajulikani walikoHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionZaidi ya watu 100 hawajulikani waliko
Runinga ya shirika la Xinhua, imetangaza kuwa zaidi ya wafanyikazi 3,000 wa huduma za dharura, wamefika katika kijiji cha maeneo hayo ya milima milima, ambayo hutembelewa sana na watalii, ili kujaribu kuwaokoa waathiriwa.
Wahudumu wa majanga ya dharura wanasaka maporomoko hayo ili kujaribu kuwapata manusuraHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionWahudumu wa majanga ya dharura wanasaka maporomoko hayo ili kujaribu kuwapata manusura
Wanatumia matinga tinga, vifaa vya kielektroniki na mbwa wa kunusia, ili kubaini maisha ya watu ambao wamenaswa ndani ya maporomoko hayo.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440



BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...