» » Aliyegundua vyombo vya muziki vya Roland, Ikutaro Kakehashi amefariki akiwa na umri wa miaka 87

Aliyegundua vyombo vya muziki vya Roland, Ikutaro Kakehashi amefariki akiwa na umri wa miaka 87


Ikutaro Kakehashi aliunda mashine TR-808Haki miliki ya pichaWIKIPEDIA/CC
Image captionIkutaro Kakehashi aliunda mashine TR-808
Ulimwengu wa muziki unaomboleza kifo cha mwanzilishi wa vyombo vya muziki vya Roland Ikutaro Kakehashi, ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 87.
Mhandisi huyo raia wa Japan aligundua vyombo vingi vya kupiga ngoma kikiwemo chombo cha TR-808
Vyombo hivyo vimetumiwa kwa muziki wa hip-hop na kutumiwa na wanamuziki wrngi wakiwemo Kanye West hadi Marvin Gaye.
Kakehashi alipewa tuzo la kiufundi la Garmmy mwaka 2013 kwa mchango wake katika teknolojia ya muziki.
Kabla ya kuongoza Roland kwa miaka 40, bwana Kakehashi alianzisha kampuni ya Ace Tone miaka ya sitini..
Sauti ya chombo cha muziki cha TR-808 ilileta mabadiliko makubwa kwenye muziki miaka themanini na tisini.
Albamu yake Kanye West ya mwaka 2008 ya 808s & Heartbreak, inakionyesha chombo hicho wakati wote.
Ikutaro Kakehashi (picha ya juu, kushoto)Haki miliki ya pichaFACEBOOK / TOMMY SNYDER
Image captionIkutaro Kakehashi (picha ya juu, kushoto)

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles