» » Watu 250 waangamia kwenye maporomoko ya ardhi Colombia

Watu 250 waangamia kwenye maporomoko ya ardhi Colombia

Watu 250 waangamia kwenye maporomoko ya ardhi ColombiaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionWatu 250 waangamia kwenye maporomoko ya ardhi Colombia
Mamlaka ya jeshi la Colombia inasema idadi ya waliofariki katika maporomoko ya ardhi nchini humo imefikia watu 250 huku waliojeruhiwa wakiwa 400.
Hata hivyo idadi hiyo huenda ikaongezeka kwani bado kuna zaidi ya watu 200 ambao hawajapatikana .
Vikosi vya wafanyikazi wanaoendesha shughuli za uokoaji wanasema nyingi ya barabara za kulipotekea maporomoko hayo huko eneo la mji wa kusini mwa taifa hilo, Mocoa hazipitiki kutokana na mkasa huo.
Watu 250 waangamia kwenye maporomoko ya ardhi ColombiaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionWatu 250 waangamia kwenye maporomoko ya ardhi Colombia
Maporomo hayo yametokea baada ya mvua kali kunyesha kwa saa nyingi.
Viongozi wa mataifa jirani wa Mexico na Argentina walikuwa wa kwanza kutoa ujumbe wa pole na kuahidi kwenda kuisaidia Colombia.
Rais Juan Manuel Santosa alitangaza hali ya tahadhari eneo hilo na kusafiri kuangalia shughuli za uokoaji.
Watu 250 waangamia kwenye maporomoko ya ardhi ColombiaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionWatu 250 waangamia kwenye maporomoko ya ardhi Colombia
Picha zilizochapisww kwenye mitandao na jeshi zilionyesha baadhi ya majeruhi wakiokolewa kwa kutumia ndege.
Maporomo koya ardhi yamekumba eneo hilo mara kadha miezi ya hivi karibuni.
Mwezi Novemba, watu 9 waliuawa kwenye mji wa El Tambo, karibu kilomita 140 kutoka Mocoa kufuatia maporomoko ya ardhi yaliyosababiswa na mvua kubwa.
Watu 250 waangamia kwenye maporomoko ya ardhi Colombia
Image captionWatu 250 waangamia kwenye maporomoko ya ardhi Colombia
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles