» » Awapa sumu na kuwaua watu 20 kwenye madhabahu Pakistan

Awapa sumu na kuwaua watu 20 kwenye madhabahu Pakistan

Familia za watu waliouawaHaki miliki ya pichaEPA
Image captionFamilia za watu waliouawa
Takriban watu 20 wameuawa na wengine kujeruhwia kwenye madhababu yaliyo mji wa Sargoda, mkoa wa Punjab nchini Pakistan.
Naibu kamishna wa polisi Liaquat Ali Chatta, alisema kuwa mshukiwa mkuu ni mhudumu wa madhabu hayo Abdul Waheed.
Manusura mmoja aliwaambia polisi kuwa bwana Waheed aliwaita wafuasi katika chumba chake mmoja baada ya mwingine, na kuwapa chakula kilichokuwa na sumu.
Yeye na wenzake kisha waliwaua watu hao kwa kuwapiga wakitumia vifaa.
Kisa hicho kilifichuliwa na mwanamke aliyekuwa amejeruhiwa katika hospitali iliyo karibu, ambaye alikuwa amefanikiwa kutoroka.
Kisha polisi walifululiza kuenda eneo hilo na kumkamta bwana Waheed pamoja na watu wengine ambao wanaaminiwa kuwa washirika wake.
Sababu ya mauaji hayo haijulikani lakini polisi wanasema kuwa mshukiwa huyo alionekana kuwa na matatizo ya kiakili.
Abdula Waheed mweye umri wa miaka 50, amekiri kuwaua watu hao, kwa sababu alihofu kuwa walikuwa wameenda kumuua, kwa mujibu wa AFP
Punjab, Pakistan
Image captionPunjab, Pakistan
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en





tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles