» » Watu milioni 14 kupoteza bima ya afya Marekani

Watu milioni 14 kupoteza bima ya afya Marekani

Image captionBima ya Obama Care ilinzishwa March 23, 2010

Taasisi moja ya utafiti nchini Marekani imesema kuwa takriban watu milioni 14 watapoteza bima za afya mwaka ujao kama chama cha Republican kitapisha azimio la kuondoa bima ya afya iitwayo Obamacare.

Ofisi ya bajeti ya bunge la Congress imesema kuwa chini ya mfumo mpya, idadi itaongezeka na kufikia milioni 24.

Rais Trump ameunga mkono pendekezo hilo na kusema kuwa, ambalo chama cha Republican kinasema litapunguza gharama.

Mshirikishe mwenzako 

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles