Waasi washikilia
uwanja wa ndege Syria
ndela Syria

Kundi hilo la SDF limesema limeshikilia eneo la Tabqa, kilomita
40 Magharibi mwa Raqqa.
uwanja huu ulikuwa ukishikiliwa na serikali
Saa chache kabla ya tukio hilo, kundi la IS lilisema kuwa bwawa
la Tabqa ambalo ni kubwa zaidi nchini Syria, lipo hatarini kubomoka kutokana na
mshambulizi ya anga yanayofanywa na vikosi vya Marekani.
IS wameongeza kuwa vitendo hivyo vinalenga kuwafanya wakaazi wa
mji wa Raqqa kuuhama mji huo.
Lakini jeshi la Marekani linasema hawajalenga bwawa hilo.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment