» » Vikosi vya Syria vyapambana na waasi mjini Damascus

Vikosi vya Syria vyapambana na waasi mjini Damascus


Kumekuwa na mapambano makali nchini SyriaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionKumekuwa na mapambano makali nchini Syria
Kumekuwa na mapambano makali kati ya vikosi vya serikali ya Syria na waasi mashariki mwa mji wa Damascus.
Mapambano hayo ya yalifanyika baada ya shambulizi la kushtukiza karibu na katikati ya mji lililotekelezwa na waasi kutoka kundi linalohusishwa na wanamgambo wa al-Qaeda.
Vyombo vya habari vya serikali vimesema mahandaki yalitumika kufanya shambulizi hilo.
Shirika la kutetea haki za binaadam lenye makazi yake nchini Uingereza limesema wanamgambo walilipua mabomu yaliyokuwa yametegwa kwenye gari kabla ya kushambulia vizuizi vya kujihami .
Jeshi la Syria lilirudisha mashambulizi kwa njia ya anga.
Wakazi waliaswa kubaki ndani, huku shule zikitarajiwa kuendelea kufungwa

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440






BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en





tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...