» » Mwanamume aliyetoweka apatikana akiwa amekufa ndani ya chatu Indonesia

Mwanamume aliyetoweka apatikana akiwa amekufa ndani ya chatu Indonesia


Mwanamume aliyetoweka apatika ndani ya chatu IndonesiaHaki miliki ya pichaWEST SULAWESI POLICE
Image captionMwanamume aliyetoweka apatika ndani ya chatu Indonesia
Mwanamume mmoja nchini Indonesia ambaye alikuwa ametoweka amepatikana akiwa amekufa ndani ya tumbo la chatu, kwa mujibu wa polisi.
Akbar alitoweka siku ya Jumapili katika kisiwa cha Sulawesi, baada ya kuondoka nyumba akienda kuvuna mawese
Wakati nyoka huyo ambaye aliripotiwa kuwa na urefu wa mita saba alipopasuliwa tumbo, mwili wa mwanamume huyo ulipatikana ndani.
Chatu hunyonga na kisha kimeza myama yeyote ambaye anataka kumla.
Hata hivyo si kawaida kwa chatu kumla binadamu, lakini kuna visa vya chatu kuwameza watoto na wanyama.
Mwanamume aliyetoweka apatika ndani ya chatu IndonesiaHaki miliki ya pichaWEST SULAWESI POLICE
Image captionMwanamume aliyetoweka apatika ndani ya chatu Indonesia
Mashura ambaye ni msemaji wa polisi katika mkoa wa Sulawesi Magharibi aliiambia idhaa lugha ya Indonesia ya BBC, kuwa wanavijiji waliripoti kwa polisi kuwa Akbar amekuwa hajaonekana kwa muda wa sa 24.
Kisha polisi walianza kumtafuta na kumpata chatu huyo karibu na shamba la mawese la familia.
Baada kumkosa wanakijiji walimuoa chatu ambapo wakashuku kuwa huenda amemmeza Akbar. Wakati tumbo la chatu huyo lilipofunguliwa Akbar alikuwa ndan

Mada zinazohusiana

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440




BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en





tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles