» » Samsung yazindua simu mpya ya Galaxy S8 iliyoboreka zaidi

Samsung yazindua simu mpya ya Galaxy S8 iliyoboreka zaidi


Galaxy S8+
Image captionThe Galaxy S8+ has a longer screen than last year's S7 Edge but is a smaller handset
Simu mpya za zinazotajwa kuwa zilizoboreka zaidi zinazinduliwa na kampuni ya Samsung.
Skrini za simu za Galaxy S8 na ya ile iliyo kubwa kidigo ya Galaxy S8+, ni kubwa licha ya siku zenyewe kuwa ndogo kuliko zile za mwaka uliopita za S7 na S7 Edge.
Wakati huu simu hizo zote zina skrini zilizojipinda hadi pembeni mwa simu.
Uzinduzi huo unafuatia kufeli kwa simu aina ya Note 7 ambayo ilirushwa mara mbii kufuaiua visa vya kuwaka moto.
Kampuni hiyo ya Korea Kusini ilidai kuwa betri ndiyo ilikuwa na tatizo.
Kampunia hiyo pia imekuwa ikichunguzwa kwa madai kuhusika kwenye ufisadi nchini mwake.
Samsung ilifanya uzinduzi katika miji ya London na New YorkHaki miliki ya pichaSAMSUNG
Image captionSamsung ilifanya uzinduzi katika miji ya London na New York
Siku ya Galaxy S8 inatajwa kuwa muhimu zaidi kuwai kuzinduliwa kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita.
Simu hiyo inatajwa kuwa bora, lakini Samsung itahitaji kujitahidi ziadi ili kuepuka kasoro uliyokumba simu ya Note 7.
Simu hiyo itatolewa rasmi tarehe 21 mwezi Aprili mwaka huu.
Galaxy S8 itauza dola 856 nayo S8+ itauzwa dola 968.
Tuma picha/ habari what-sap 0769436440






BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.sn.news&hl=en





tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles