Kiongozi
mkuu wa upinzani nchini Urusi Alexei Navanly akamatwa Moscow
Waandamanaji walijaribu kulizuia
gari kumpekeka mwanasiasa huyo.
Navalny ni maarufu kwa kampeni
zake za kupinga ufisadi ambazo huwalenga maafisa wa vieo vya juu walio karibu
na serikali ya Urusi.,
Anazuiwa kuwania urais kumpinga
rais Vladimir Putin mwaka ujao, baada ya kupatikana na hatia kati ya kesi
anayoitaja kuwa ilichochewa kwa misingi ya siasa.
Waandamanaji kadha walikamatwa,
pale polisi walipojaribu kuvunja maandamano katika mji wa Vladivostok, kando ya
Bahari ya Pacific.
Waandamanaji huko Chelyabinsk,
walitaka Waziri Mkuu, Dmitry Medvedev ajiu-zulu kuhusu tuhuma za ufisadi.
http://www.bbc.com/swahili
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment