» » MAHUBIRI YA EFFOTI ZA NDANI TAREHE 06, FEB 2017KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO UDOM-MASHARIKI (UDOM-EAST)

MAHUBIRI YA EFFOTI ZA NDANI TAREHE 06, FEB 2017
Related image
KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO UDOM-MASHARIKI (UDOM-EAST)

SOMO:* ```MAADILI NA UKOMBOZI```
*F/KUU:* ~Luka 6:12~
*WIMBO:* Na; 110 _lMlango Wazi)._
➡ *LUKA 6:12.*
Imani pekee ndicho kitu kitakachomfanya mtu akombolewe katika ulimwengu huu wa dhambi.
➡ *Mwanzo 26:5*
Baba wa imani Ibrahim alifanya yote yaliyompendeza Mungu, aliisikia sauti ya Bwana, akayahifadhi maneno yake katika maisha yake yote. Na ndio chanzo kikubwa cha kuishika imani ni utii wa maadili ya Bwana.
➡ *Ufunuo 14:12*
Hapa ndipo penye subira ambapo kwayo tutaonekana watii wa sheria za Mungu.
_Haya ndiyo maadili yaliyo ndani ya kristo._
➡ Warumi 7:7
_Tusemeje basi, kwani torati ni dhambi?_
Sheria ipo ili kutuonyeaha dhambi, sheria zote mpendwa zinatuongoza katika utakatifu na kumtii Mungu.
Na kwa kushika sheria yake ndiko kumtii yeye na ndio maadili ya Kristo.
✏ Mawazo yetu yote lazima yategemee utii wa sheria ya Mungu, maana ndiyo itakayotufanya tuwe na maadili mema kwa Mungu wetu. Maadili mazuri kwa Mungu wetu ndio ukombozi wa Maisha yetu.
➡ *Warumi 7:8*
```Kwa maana dhambi bila sheria imekufa.```
Sheria ya Mungu ndio hutufundisha kuzitii sheria zake. Kama tutazivaa sheria zake mahali popote tutatembea nae nasi tutaonyesha upendo kwa Mungu wetu.
Mwisho: *```SHERIA YA MUNGU SIO UNABII```*
Lazima tuitii kama ilivyo.
Bwana awabariki mnapokuwa watii kwa sheria zake maana ndio fahari yetu kwa Mungu wetu.

Barikiwa sana na Karibu tena kesho.
Prepared by;
*PR: SABUYA_JR98*
Watsapp: +255 766 060 303.
Facbook: Sabuya Willy Jr.
Instagrm: Sabuya_jr98.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...