» » IBADA YA SEMINA ZA WACHUNGAJI WAZEE WA MAKANISA, NA MASHEMASHI SABATO YA TAREHE 04/02/2017 BUZURUGA MWANZA


BWANA NI MWEMA. HIVI NDIVYO ILIKUWA KWENYE SABATO YA TAREHE 4/02/2017
KATIKA KANISA LA BUZURUGA MWANZA


SIKUHIYO TULIKUWA NA MBARAKA WA PEKEE KWA KUSALI NA VIONGOZI WETU


Hawa ni viongozi wa south nyanza conference tulio sali nao


1,PR. MAKUNJA, KATIBU WA CHAMA CHA WACHUNGAJI
2,.MAMA MAGINGA,  KAMUWAKILISHA DR, MAGINGA
3,PR.. DANIEL ONESIMO, PUBLISING DIRECTER
4,PR. NTABINDI, MKURUGENZI WA UWAKILI
4, PR. MLOZI MKURUGENZI WA MAWASIRIANO
5, PR. KANYAMANZA MRATIBU WAKUPELEKA INJILI MAENEO MAPYA
6,PR. MANEMA. NAWENGINE WENGI

PIA TULIKUWA NA VIONGOZI WA ATAPE KUANZIA TAIFA MPAKA ZA CHINI KABISA


ATAPE

VIONGOZI
MH,. BUYAMBA MWENYEKITI TAIFA


MWENYE SUTI WA KWANZA MBELE NDIE MH. BUYAMBA

 SOUTH NYANZA CONFERENCE
MH,. MAPIGANO
NA MH, NJIRE

NA VIONGOZI WEGINE WENGI

Tulipata tarifa ya nzuri iliyo fanywa na Atape ikaongowa wachungaji wawili kutoka madhehebu ya Jumapili mmoja alikuwa askofu wachungaji hao ni :- PAUL MASOLO
na MOSES MAHALALA wote wa kanisa la pentecost
walio batizwa na wengine 20
kazi nzuri sana.

Tulikuwa na kiongozi wa Serikali
MKURUGENZI MTENDAJI WA WILAYA KISHAP MH, MAGOIGA

WAHUDUMU WA SIKU HIYO,


Katibu mkuu South Nyanza conference   PR. SWEETER
PR, SOLOMA SIMIONI SOLOMA MAKUNJA MCHUNGAJI WA WACHUNGAJI
NDYEGI KATIBU WA CHAMA CHA WACHUNGAJI UNION KASKAZINI NA WENYEJI WA WA MKUTANO
PR, SADOKI BUTOKE MWENYEKITI WA CONFERENCE NA WA SIKU HIYO
MWENYEKITI WA UNION GODWIN LEKUNDAYO
Mhubiri wa siku hiyo alikuwa ni mgeni wetu kutoka
MAKAO MAKUU YA KANISA (GC) NI KATIBU MKUU MWENZA ULIMWENGUNI
DR, JONAS ALYSE

TUMEBAHATIKA KUWA NAYE SOUTH NYANZA TANGU JUMA TATU HADI SABATO

Wimbo wa huduma kuu wimbo namba 43 Furaha gani!
wimbo wa sadaka:  yote namtolea Yesu NO: 122 watu walikuwa wengi tukaongeza na wimbo 98  nilikupa wewe  NO 98

Mimi binafsi nilipenda na kububujika fraha ndani yangu Mhubiri alisema hiviiii
Hakuna aliyejuta, kwakufanya mapenzi ya Mungu ila wengi wanajuta kwa kukataa mapenzi ya mungu je? wewe unafanya mapenzi ya Mungu au umekataaaa jiulize kisha geuka njoo huku mlango ukowazi kwako na kwangu

Kwaya hazikuwa mbali


HUDUMA KUU KWAYA BUSWELU S.D.A



WAUMINI WALIKUWA WENGI SANA



NYAKATO S.D.A CHOIR Nao walihudumu




watu wali barikiwa sana





watu walijawa ma tabasamu


akipokea zawadi kutoka kwa mwenyeji wake DR Lekundayo


Neno la shukrani



kwaya ya SHAMALIWA S.D.A nao walikuwepo




Kwaya ya Igoma s.d.a nao waliimba
igoma s.d.a


BUZURUGA S.D.A WENYEJI WETU




NUNDU S.D.A WALITUBARIKI SANA
SIJUI USHINDI HATIMAE ITAKUWAJE







UKIONA HIVYO UJUE NA MSOSI ULIKUWEPO  TULIKULA NA KUSAZA
MAMBO YA MSOSI HALELUYA BWANA


JE? USHINDI HATIMAE ITAKUWAJE????????????????
KAMA WEWE  SIO MSABATO BASI UNAKOSA VITU KAMA HIVI.
Asante kwa kutembelea Blog yetu washirikishe na wenzako, Pia tunaomba maoni yako hapa WHATSAP (+255) 0769436440 Karibu Sana Read More

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...