» » Kutana na Roberto Esquivel Cabrera Mwanaume Mwenye Uume Mrrefu Zaidi Duniani Una Inchi 19,Hajawai Kusexy ,(+18Video)




Rekodi ya mwanaume mwenye maumbile ya kiume makubwa imevunjwa na jamaa mmexico anaeitwa Roberto Esquivel Cabrera ambae ana uume wenye urefu wa takribani inchi 19 (18.9 inches to be exact).
Hata hivyo licha ya kujaliwa kuwa na mashine kubwa namna hiyo, Roberto Cabrera hana amani wala furahamaishani mwake. Uume wake umegeuka kuwa kero badala ya kumletea fahari maishani. kwanini?

i. Jamaa mpaka leo ni bikira na hana mke wala mtoto. Bikira kivipi? Hadi leo hii akiwa na umri wa miaka 52 hajawahi kufanikisha kufanya tendo la ndoa. Baadhi ya wanawake wameogopa hata kufanya jaribio la kusex nae wakiogopa kuharibiwa kizazi. Na mwanamke pekee aliejifanya nunda na kujaribu kumu-accomodate jamaa aliishia kulia kilio cha mbwa mwizi na kutoka nduki kabla jamaa hajaingia hata nusu!


ii. Pia, mr. Cabrera amekuwa akikabiliwa na maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) mara kwa mara kwasababu anashindwa kuutoa mkojo wote nje wakati wa kukojoa. Hii ni kwasababu ya urefu uliozidi wa urethra.

iii. Pia jamaa ameshindwa kupata kazi yoyote nchini Mexico kwasababu serikali inamuona jamaa kuwa ni mlemavu na anahitaji msaada maalumu.

iv. Pia jamaa anashindwa kutembea comfortably kwasababu uume wake umekuwa ukimsumbua kila anapojaribu kupiga hatua. Huko mitaani nako kila mtu anatokea kushangaa umbile la jamaa ambalo jamaa ameshindwa kabisaaaa kulizuia hata akivaa magunia na kanzu nzito.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...