» »Unlabelled » Wakfu wa Donald Trump Wavunjiliwa mbali

Wakfu wa Donald Trump Wavunjiliwa mbali


Image caption Rais Mteule wa Marekani Donald Trump
Rais Mteule wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuvunjilia mbali shirika lake la utoaji misaada, ili kuzuia aina yoyote ya muingiliano wa kikazi wakati akiwa Rais. Bwana Trump amesema shirika hilo limetoa msaada mkubwa wa mamilioni ya dola, ili kufadhili miradi mbalimbali, lakini sasa ameachana nalo kwa manufaa ya cheo chake mpya kama Rais wa Marekani. Mwanasheria mkuu wa New York, amekuwa akichunguza wakfu huo wa kibinafsi wa Bwana Trump, ikiwa unafuata kila kanuni ya sheria zinazolinda mashirika ya misaada na mchango kwa makundi mbalimbali ya kisiasa, na mwezi Oktoba mwaka huu, aliamuru ikome kukusanya fedha.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...