» »Unlabelled » Je, wajua tofauti ya kati ya neno {CHRISTMAS} na neno {X-MASS }? Kama hujui soma hapa: 👇👇👇👇👇👇👇👇

Je, wajua tofauti ya kati ya neno {CHRISTMAS} na
neno {X-MASS }?

Kama hujui soma hapa:

👇👇👇👇👇👇👇👇

CHRISTMAS ni MUUNGANO wa maneno mawili yaani CHRIST & MAS.

Hapo zamani, siku ya Tarehe 25 December, ilikua siku ya Kusherehekea MITAMBIKO YA KIPAGANI kabla MWANA WA MUNGU, YESU KRISTO hajazaliwa.

Baadae mwaka 533 AD, Mtakatifu Constantine, aliyekua Mkuu wa Kanisa la WARUMI, ambalo siku hizi linajulokana kama Kanisa la Katoliki (Kanisa la kwanza), aliibadili siku hiyo isiwe tena ya MITAMBIKO YA KIPAGANI badala yake siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa MKOMBOZI MWANA WA MUNGU YESU KRISTO na kuiita siku ya kusanyiko la KRISTO yaani CHRISTMAS.

1. CHRIST ni neno la kiingereza ambalo tafsiri yake ni KRISTO yaani MASIA au MPAKWA MAFUTA au ALIYETENGWA KWA KAZI MAALUMU.

2. MAS ni neno la KIYUNANI ambalo maana yake ni KUSANYIKO.

Kwa hiyo maana ya neno CHRISTMAS ni KUSANYIKO  la KRISTO.

Kwa WAKRISTO wanaoamini siku hiyo, wawe makini sana  na neno X-MASS!.

Inaaminika kuwa, baada ya siku hiyo ya kukumbuka kuzaliwa kwa YESU KRISTO, kupata umaarufu, neno X-MASS, lilikuja baadae sana na lililetwa na wapinga KRISTO ambao waliamua kufuta neno CHRIST kwa kuweka alama ya "X" yaani hakuna KRISTO.

Hiyo ilibadili maana  kwa kusomeka X-MASS.

X-HAKUNA na MASS-KUSANYIKO, hivyo X-MASS, maana yake ni HAKUNA KUSANYIKO LA KRISTO! yaani HAKUNA CHRISTMAS!
Sasa, Kama wewe ni Mkiristo hutakiwi kutumia neno X-MAS, badala yake tumia neno CHRISTMAS

MUNGU awabariki muwe na CHRISTMAS Njema sio "X-MASS!"L

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...