» » BREAKING NEWZZZZ.... WAIMBAJI TOKA KUNDI LA THE VOICE NA VOCAPELLA KUIMBA NYIMBO ZA PAMOJA KWENYE TAMASHA LA SAUTI ZOTE ZIIMBE..

BREAKING NEWZZZZ....
WAIMBAJI TOKA KUNDI LA THE VOICE NA VOCAPELLA KUIMBA NYIMBO ZA PAMOJA KWENYE TAMASHA LA SAUTI ZOTE ZIIMBE..
Mapema jioni ya leo kwenye mahojiano na waandaaji wa Tamasha la SAUTI ZOTE ZIIMBE, Mr Emmanuel na Barret Mapunda @barrety20may  wamesema hii itakuwa historia ya namna yake kwani haijawahi tokea vikundi hivi viwili kusimama na kuimba nyimbo za pamoja. Baadhi ya wapenzi wa vikundi hivi wamesema vina beef lakini kukanusha hali hiyo na kujenga ushirikiano wa karibu wataimba nyimbo takribani 4.
Wahi kupata tiketi yako mapemaa mtafte Barret +255718354354

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles