» »Unlabelled » Uchafuzi wa hewa unaigharimu benki ya dunia

Uchafuzi wa hewa unaigharimu benki ya dunia

Mshirikishe mwenzako
hali ya hewa
Image captionUchafuzi wa hali ya hewa unaigharimu Benki ya dunia
Ripoti iliyotolewa na Benki ya Dunia imesema kuwa, uchafuzi wa hewa unaigharimu zaidi ya dola trilioni tano kwa mwaka jambo linaloathiri maendeleo ya nchi maskini. Takwimu zimeonyesha kuongezeka kwa ustawi wa matumizi na kupoteza kipato jambo linalochangia kuongezeka kwa vifo vya mapema vinavyotokana na uchafuzi wa hewa.
Ripoti hiyo imeonesha kuwa kifo kimoja kati ya kumi kimesababishwa na hewa chafu, huku vifo vingi vikisababishwa na moshi.China ndiyo imeathirika zaidi, kwa kupoteza karibu asilimia kumi ya pato lake la taifa ikifuatiwa na India and Cambodia znazopoteza karibu asilimia nane kwa sababu ya uchafuzi wa hewa.
Utafiti huo pia umeangazia takwimu za kuanzia mwaka 2013 na miaka ya hivi karibuni ambapo takwimu hizo zinapatikana.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles