» »Unlabelled » Jean Ping wa Gabon kukata rufaa, mahakama ya rufaa

Jean Ping wa Gabon kukata rufaa, mahakama ya rufaa

Mshirikishe mwenzako
Gabon
Image captionKiongozi wa chama cha upinzani nchini Gabon, Jean Ping
Kiongozi wa chama cha upinzani nchini Gabon, Jean Ping, amekata rufaa kwenye mahakama ya katiba kupinga matokeo ambapo amesema aliibiwa kura kwenye uchaguzi wa mwezi uliopita. Rais aliyekuwa madarakani Ali Bongo alishinda kuendelea kuongoza nchi hiyo kwa kura chini ya elfu sita.
Ping hakubaliani na matokeo kutoka kwa ngome za bwana Bongo ambapo yeye alishinda kwa zaidi ya asilimia 95 ya kura zote ambapo waliopiga kura walikuwa ni asilimia 99.93. Waangalizi wa umoja wa ulaya nao wamekosoa matokeo kwa baadhi ya majimbo.
Bwana Ping amesema watu kadhaa wameuawa kwenye vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi , lakini serikali imesema kuwa ni watatu pekee ndiyo waliuawa.

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles