» »Unlabelled » PICHA KALI ZA WAIMBAJI WA THE LIGHT BEARERS WALIPO REJEA NCHINI TANZANIA TOKA UINGEREZA

DAR ES SALAAM:WAIMBAJI WA THE LIGHT BEARERS WAREJEA NCHINI TANZANIA TOKA UINGEREZA 

  



        Waimbaji 14 wa The Light Bearers ambao walisafiri kuelekea Reading,Nchini Uingereza kwa mkutano wa Injili ulioendeshwa na Mch Baraka Butoke toka Tanzania ambao ulikuwa umeandaliwa na Kanisa la Waadventista Wa Sabato Angaza la mjini humo ambako walikuwa huko kwa takribani majuma matatu. The Light Bearers wamewasili saa saba mchana ya ijumaa ya Agosti 26,Mwaka huu katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa  Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam ambapo walipokelewa kwa kupewa zawadi ya maua na keki iliyoandaliwa na Kundi la Whatsapp la Marafiki wa Light Bearers ambalo imekuwa likishiriki kuratibu baadhi ya matukio ya waimbaji hao nchini na nje ya Tanzania. Wakiwa nchini Uingereza waimbaji hao  wamefanikiwa kurekodi santuri mwonekano namba 3 na 4 ambazo nyimbo zake mbili mpya zimeshaanza kuoneshwa katika vituo vya televisheni na kwenye mitandao,pia walitembelea ofisi za Konferensi,Unioni na Divisheni zilizoko nchini humo.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...