Karibun kwenye makambi mtaa wa kinondoni kuanzia Tarehe 11-17 mwezi wa tisa.
Wanenaji watakuwa mwenyekiti wa Union ya Kasikazini mwa Tanzania Mch. Dkt. Godwin Lekundayo,
Mwenyekiti wa Union ya kusini mwa Tanzania Mch. Mark Walwa Malekana.
Mwenyekiti wa konferensi ya Mashariki na kati mwa Tanzania Mch. Joseph Mgwabi.
Karibuni sana watu wa dar na mikoani ndo makambi ya mwisho kwa Dar es salaam
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment