» »Unlabelled » Mashambulizi ya Aleppo kuzungumziwa UN

Mashambulizi ya Aleppo kuzungumziwa UN


Ndege za serikali zimekuwa zikishambulia maeneo ya mji wa AleppoImage copyrightREUTERS
Image captionNdege za serikali zimekuwa zikishambulia maeneo ya mji wa Aleppo
Baraza la usalama la umoja wa mataifa linatarajiwa kufanya mkutano wa dharura kwenye mda wa saa chache zijazo kuzungumzia hali ya vita vinavyozidi kurindima huko mjini Aleppo nchini Syria.
Uingereza, Ufaransa na Marekani wameitisha kikao hicho baada ya Vikosi vya majeshi ya serikali ya rasi Bashar Al Asaad kuziidisha mashambulio dhidi ya washindani wao tangu kuvunjika kwa mkataba wa kusitisha mapigano wa hivi majuzi.
Wanaitaka Urusi kuishawishi serikali ya Syria kutofanya mashambulio ya angani kiholela.
Mtoto akiokolewa wakati wa siku ya pili ya mashambulizi
Zaidi ya watu 40 wameripotiwa kufariki hapo jana pekee.
Waziri wa mambo ya nje wa Uingereza , Boris Johnson, amenukuliwa kusema huenda urusi ilihusika kimaksudi na shambulio la msafara wa watoa huduma za kibinadamu hapo juzi, na kwamba lichukuliwe kuwa uhalifu wa kivita . Urussi wamekana kuhusika na shambulio hilo.
Aleppo and surrounding area map
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO PIA TUPIA MAONI YAKO

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles