» »Unlabelled » Mtu aliyewaua watu 5 Marekani akamatwa

Mtu aliyewaua watu 5 Marekani akamatwa


Polisi walitoa picha ya Arcan Cetin ambaye ni mzaliwa wa UturukiImage copyrightWASHINGTON POLICE
Image captionPolisi walitoa picha ya Arcan Cetin ambaye ni mzaliwa wa Uturuki
Polisi katika jimbo la Washington nchini Marekani wamemkamata mshukiwa mmoja kuhusiana na kisa ambapo watu watano walipigwa risasi na kuuwawa katika jengo moja la kibiashara siku ya Ijumaa.
Wamemtaja mshukiwa huyo kwa jina Arcan Cetin mwenye umri wa miaka 20.
FBI wameongeza kusema kuwa bado hakuna ushahidi kuwa lilikuwa tukio la kigaidi.
Kiini cha mauaji hayo yaliyotokea katika jumba la biashara kwenye mji wa Burlington bado hakijulikani. Aidha polisi wanasema kuwa mshukiwa huyo hana historia ya kuwa na uhusiano na makundi yenye siasa kali
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO PIA TUPIA MAONI YAKO

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles