» »Unlabelled » Bongo kujumuisha upinzani ndani ya serikali

Bongo kujumuisha upinzani ndani ya serikali


Bongo amesema atajumuisha upinzani bungeniImage copyrightREUTERS
Image captionBongo amesema atajumuisha upinzani bungeni
Katika hatua inayoonekana kujaribu kupunguza utesi na hisia kali zilizotokana na uchaguzi tata nchini Gabon,Rais Ali Bongo ,amesema uteuzi wa baraza lake la mawaziri litajumuisha wanasiasa wa vyama vingine.
Bwana Bongo amefafanua kuwa japo ana mipango hiyo ya kuwajumuisha wanachama wa upinzani katika serikali yake kiongozi wao ,Jean Ping, amekataa mazungumzo naye.
Jean Ping(katikati)Image copyrightAFP
Image captionJean Ping(katikati)
Bwana Ping amepinga matokeo ya uchaguzi yaliyomtangaza Ali Bongo kama mshindi na kushutumu uamuzi wa mahakama ya kikatiba nchini humo iliyoidhinisha matokeo hayo.
Watu kadhaa walifariki mwezi uliopita kutokana na vurugu za baada ya uchaguzi wa Gabon.
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO PIA TUPIA MAONI YAKO

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles