» »Unlabelled » Machar ataka serikali ya Sudan Kusini ipigwe vita

Machar ataka serikali ya Sudan Kusini ipigwe vita


Machar kwa sasa anaishi nchini SudanImage copyrightAFP
Image captionMachar kwa sasa anaishi nchini Sudan
Kiongozi wa kundi la waasi la Sudan kusini , Riek Machar, ametoa wito kuwe na vuguvugu la kivita la kuipinga serikali la nchi hiyo.
Awali bwana Machar alikuwa amerudi katika mji mkuu wa Juba kama sehemu ya utekelezwaji wa mkataba wa amani lakini akalazimika kwenda tena uhamishoni hapo Julai baada ya kuzuka mapigano yaliyowauwa mamia ya watu .
Taarifa hii ya sasa imetolewa baada ya Bwana achar kukutana na wanachama wa kundi lake huko nchi jirani ya Sudan.
Hata hivyo baadhi ya viongozi wa juu wa kundi lake hawamuungi mkono tena.
Mmoja wao ni Taban Deng ambae amejiunga na serikali na sasa amerithishwa wadhifa wa makamu wa rais nafasi iliyokuwa ya Bwana Machar.
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO PIA TUPIA MAONI YAKO

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles