» »Unlabelled » Boko Haram wateka vijiji na kupandisha bendera Nigeria

Boko Haram wateka vijiji na kupandisha bendera Nigeria


Boko Haram wametangaza kulitii kundi la Islamic StateImage copyrightAFP
Image captionBoko Haram wametangaza kulitii kundi la Islamic State
Wanamgambo wa kiislamu nchini Nigeria Boko Haram wametundika bendera kwenye vijiji vitatu vilivyo Kaskazini mashariki mwa nchi baada ya kuchukua udhibiti wa vijiji hivyo jana jumatatu.
Wanamgambo hao waliwaua kwa kuwachinja watu wanane akiwemo kiongozi wa kijiji wakati wa shambulizi hilo.
Vijiji vya Kubirivour, Boftari na Kuburmbalah viko karibu na mji wa Chikok ambapo wanamgambo hao walewateka zaidi ya wasichana 200 wa shule mwaka 2014.
Wengine wanasema kuwa wanamgambo hao bado wanadhibiti mji wa Malan Fatyori ulio kwenye mpaka kati ya Nigeria na Niger.
Jumapili iliyopita wanajeshi wa Nigeria waliutwaa mji huo kutoka kwa wanamgambo. Hata hivyo wanamgambo hao walijiandaa na kuudhibiti tena mji huo.
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO PIA TUPIA MAONI YAKO

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles