» »Unlabelled » Waasi watangaza vita dhidi ya serikali Sudan Kusini

Waasi watangaza vita dhidi ya serikali Sudan Kusini


Kundi la Democratic Movement Cobra Faction linasema kuwa linapigania haki za watu wa MurleImage copyrightAFP
Image captionKundi la Democratic Movement Cobra Faction linasema kuwa linapigania haki za watu wa Murle
Kundi la waasi nchini Sudan Kusini la Democratic Movement Cobra Faction, limetangaza kuwa litarejelea mapigano dhidi ya serikali ya Rais Salva Kiir.
Kundi hilo linaloongozwa na Luteni Khalid Botrus Bora, limekuwa likipagia haki zaidi za jamii ya Murle, na liliafikiana makubaliano ya amani na serikali ya Juba mwezi Mei mwaka 2014.
Katika taarifa, lilisema kuwa litajiunga na vikosi vingine ambavyo kwa sasa vinapiga na serikali.
Mtandao wa Sudan Tribune unaripoti kuwa tangazo hilo lililotolewa hii leo mjini Nairobi, Kenya, linajiri baada ya aliyekuwa waziri wa kilimo nchini humo Lam Akol, kuunda kundi jipya la waasi baada ya majuma kadha ya mazungumzo na makundi ya upinzani.
Mapigano ya wenyewe kwa wenyewe yalizuka katika taifa hilo janga zaidi duniani mwezi Disemba mwaka 2013.
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO PIA TUPIA MAONI YAKO

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles