» »Unlabelled » Ali Bongo aapishwa kwa muhula wa pili

Ali Bongo aapishwa kwa muhula wa pili


Bongo alishinda kwa kura zisizozidi 6000Image copyrightAFP
Image captionBongo alishinda kwa kura zisizozidi 6000
Rais wa Gabon Ali Bongo ameapishwa kwa muhula wa pili wa miaka saba kufuatia uchaguzi uliokumbwa na utata ambapo watu kadhaa waliuawa.
Kuapishwa huku kunafanyika siku tatu baada ya mahakama ya katiba kukataa shinikizo za upinzani za kutaka kura kuhesabiwa tena.
Ali Bongo ambaye babake Omar Bongo alikuwa rais wa Gaboin kwa miongo minne, alishinda uchaguzi huo kwa kura zisizozidi 6000.
ASANTE KWA KUTEMBELEA BLOG YETU WATARIFU NA WENZAKO PIA TUPIA MAONI YAKO

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles