MAMBO 20 AMBAYO UKIZINGATIA UTAKUZA BIASHARA YAKO
1: Tuzalishe Bidhaa na Huduma zenye Ubora na Kiwango cha Juu.
2: Tuweke Bei zinazoendana na bidhaa au huduma yenyewe.
3: Tuwe waaminifu tunapokopeshana, na turudishe kwa wakati
4: Kumbuka unapochukua bidhaa ya mtu ni vyema ulipe hela kamili (Cash).
5: Tunapokoseana tuombane radhi na kusameheana
6: Kila mwenye nguvu na afya ni lazima ujitume kufanya Shughuli ya uzalishaji
7: Wekeza Pesa na Muda wako katika Matangazo kwa sababu, bila mkakati Madhubuti wa matangazo hutopata wateja na zaidi sana utakosa mapato.
8: Pokea Oda (Orders) Unazozimudu. Usizidishe kwa Tamaa. Utaharibu Kazi na Jina lako.
9: Chukua muda kupata taarifa za kutosha kuhusu Biashara unayotaka kuwekeza kabla hujaingiza Pesa zako Kuifanya
10: Kwa wenye Biashara tayari ukiweza kuwa na tawi (branch) au kuongeza, fanya hivyo; Inasaidia kupunguza hatari zaidi (diversify Risks).
11: Kuwa na Mpango-Mkakati imara wa fedha na uwekezaji; utakaokusaidia kukuongoza kwa miaka miwili au mitatu hadi mitano mbele katika masuala yako ya biashara na uwekezaji.
12: Hudhuria Makongamano, Matamasha, Maonyesho, Semina mbali mbali ili Kukufungua Akili na kupata Mawazo (Ideas) mpya za kukusaidia nini cha Kufanya.
13: Jitahidi kuweka akiba (Ku-Save) 10 % hadi 30% ya kile ukipatacho kwa ajili ya Kununua Aseti (asset). Mfano: Kuweka akiba rejesho (Fixed deposits), kunuunua hisa katika makampuni yenye kutengeneza Faida inayoridhisha, Kununua Viwanja au Nyumba.
14: Pia jiwekee lengo la kuwa na fedha kamili (cash at least 5 million) na kuisimamia vyema katika benki akaunti yako, ili ikusaidie kwa dharura (emergencies) zozote maishani mwako. Mfano: Misiba, Kuuguza, Kuvunjiwa, Kuibiwa, michango muhimu, nakadhalika.
15: Jifunze kubana matumizi yasiyo ya lazima. Mfano: Kuendesha Magari yanayotumia mafuta mengi, manunuzi makubwa na ya mara kwa mara ya nguo, nywele, viatu, kusafiri mahali kusiko muhimu, kuwekeza hela katika vikundi vingi visivyo na tija, kupanga katika nyumba za gharama, kuchangia kila shughuli, jifunze kuchagua chache na muhimu, kukesha katika bar na sehemu za starehe kwa kisingizio cha kutengeneza Mtandao wa Mahusiano, yaani “networking.”
16: Usikope fedha Benki au VICOBA au Saccos; kufanya Biashara husiyoielewa au ambayo hujaifanyia utafiti wowote wa kutosha.
17: Tulia katika Biashara yako, tafuta mikakati ya kuikuza, tafuta majibu (solutions) za vikwazo vyako, ulizia kwa waliovuka ili wakusaidie. Unaweza pia kutumia Google kwa sehemu fulani katika kufanya yote hayo.
18: Jielimishe na Ongeza Ufahamu wako. Mfano: Soma Vitabu, Majarida ya Kibiashara, Sikiliza Cds za Mafunzo ya Kibiashara, angalia Dvds; kila mara tafuta kuongeza maarifa ya vitu vilivyopo katika eneo lako unalotaka kubobea (Industry) yako. Pia soma makala kama vile “namna ya kuendesha biashara yako kwa ufanisi na ubora,” (How to manage your business efficiently). Acha kabisa kuangalia na kusikiliza habari zisizo na manufaa kwako (Junk News) na kushinda zaidi kwenye Mitandao ya Kijamii.
19: Ishi katika njia ya maisha yaliyonyooka yenye kujali wengine zaidi. Husiwe na njia mbili na mtu kubadilika badilika, kuwa mkweli, husiwe na Chuki na visasi, usitukane, husiwe mtu wa hasira kali, husiwe na wivu mbaya kwa maendeleo ya wengine, husiwe na majivuno na dharau, usitapeli, penda watu wote na kuheshimu watu wote.
20: Tunza afya yako. Lala masaa ya kutosha, kula matunda na mbogamboga kila siku kwa wingi, punguza kula nyama hasa nyekundu, kunywa maji ya kutosha, usitumie pombe au sigara kwa wingi, usijamiiane pasipo tahadhari sahihi. Na zaidi sana nakushauri kuwa na mahusiano mema na ya amani na mke au mume au watoto au wafanyakazi au majirani au wanakikundi wenzako, nakadhalika.
21: Kabla hujaenda popote asubuhi ni vyema upige magoti na kumwomba Mungu akutangulie katika kila ufanyalo, na zaidi sana ili akupe majibu (Solutions) za vikwazo unavyokumbana navyo. Mwenyezi Mungu atakupa uwezo na nguvu (Stamina) ya kuhimili mambo magumu ya maisha unayokumbana nayo.
Pamoja na kufanya hivyo; kumbuka pia unaporudi nyumbani kabla ya kulala piga magoti tena na kumshukuru Mungu aliyekuvusha na kukusaidia katika Mambo yako yote ya siku nzima. Na kama ni mtoaji wa Fungu la kumi endelea kutoa usiache kutoa kwani ni kati ya vitu pekee vinavyo mgusa Mungu kukufungulia milango yake ya Baraka. Ukiweza zaidi toa kwa yatima, wajane, masikini, na wale wote wenye uhitaji mbali mbali kama huo. Na hii ndio siri waifanyao matajiri wengi duniani ndio maana wanazidi kufanikiwa zaidi. Fanya na wewe leo, uone matokeo.
Ninaamini umepata kitu kitakachokusaidia mwaka 2016 & 2017
Washirikishe na wengine uwapendao ujumbe huu.
![]() |
MTU ANAPO FIKIA MALENGO |

JITAHIDI KATIKA MAISHA USISAHAU YAFUATAYO |

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI