KWA WEWE UNAYETAKA KUANZA BIASHARA NA KUINUA KIPATO JITAHIDI KUSOMA NA HII ISIKUPITE.
HAYA NI MASWALI SABA UNAYO TAKIWA KUJIULIZA KABLA YA KUANZA BIASHARA
Unatambuliwa kwa njia zoefu ama iliyozoeleka? Wamiliki wengi wa biashara ndogondogo huyasema haya mara kwa mara. Itazame orodha hii ya maswala ya kuangaziwa kabla ya kuanza biashara.
Hakuna Mfanyabiashara au Mjasiriamali asiyehitaji kufanikiwa katika biashara yake na hatimaye kufikia Mafanikio makubwa, yatakayompa nafasi ya kuzidi kudumu sokoni na zaidi kukuza mauzo ya biashara yake kwa kipindi kirefu.
Hivyo ndivyo kila mtu anayefanya biashara hutamani kufikia, hasa katika kufikia malengo yake makubwa katika kuona ongezeko la juu la mauzo na ongezeko la wateja na zaidi kufikia kuwa na faida maridhawa katika biashara yake.
Yapo mambo mengi tunayoweza kufanya na kuyazingatia kila siku katika kuboresha na kukuza soko la biashara zetu tulizonazo; lakini katika hayo yote unayoyafahamu nataka nikuongezee jambo lingine muhimu zaidi linaloweza kuwa ni msaada mwingine mkubwa kwako nje ya namna ulivyofikiri hapo kwanza.
Kwani naamini mpaka sasa umekuwa ni mtu unayejua mbinu nyingi mbali mbali za kibiashara, na ambazo zimekuwa msaada tosha na mzuri zaidi wa biashara yako na hata kukufanya uzidi kudumu zaidi katika biashara uliyonayo.
Lakini nataka nikuambie lipo jambo moja ambalo hadi sasa ni la muhimu kwa ajili ya biashara yako na ambalo hadi sasa hujalitilia maanani kulifanya ili likusaidie katika kudumisha uendelezi na ukuaji zaidi wa biashara uliyonayo.
Nataka nikuambie utakapokuwa tayari kulifanyia kazi jambo hili ninalokwenda kukuambia muda huu, amini kabisa biashara yako haitabakia nyuma tena kama hapo kwanza ilivyokuwa.
Pamoja na kuwa na mbinu nyingine nyingi ulizonazo na zinazokusaidia katika kukuza na kuendeleza biashara yako, ila ni muhimu pia ufanye jambo hili ambalo ni la muhimu zaidi katika kukusaidia kutengeneza mafanikio makubwa ZAIDI ya biashara yako.
Jambo hili ni “kutafuta mshauri mkuu (mentor) wa biashara yako.” Kama kweli unahitaji kufikia mafanikio makubwa katika biashara yako ni muhimu zaidi utafute mshauri wa kukushauri kila mara kuhusu uendeshaji na uendelezi wa biashara yako.
Hakuna biashara yoyote inayoweza kufikia mafanikio makubwa na mazuri pasipo kubebwa na ujuzi na utaalamu mkubwa nyuma yake. Hivyo na wewe pia unahitaji kufikia hatua ya kufanya hivyo ili kupanua wigo mkubwa zaidi wa biashara yako.
Fahamu ya kuwa biashara ni kama mtoto aliyezaliwa jana na anayehitaji kukua kila siku na kufikia kujiendeleza mwenyewe, na daima haitaji kuingiliwa katika misingi ya ukuaji wake nje ya utaratibu uliopo.
Hivyo basi unahitaji utaalamu na umakini wa hali ya juu zaidi katika kuhakikisha unajenga mafanikio makubwa katika biashara yako, hasa kwa njia ya kuwa na mtu atakayekushauri kitaalamu kila wakati kwa ajili ya biashara yako husika.
Unaweza ukawa unajiuliza swali. Ni kwa nini awe ni mtu mwingine tofauti na wewe? Hii ni kwa sababu moja kubwa tu ni kwamba, wewe hujui kila kitu.
Si kila kitu au jambo unaweza ukawa unalijua au kulifanya, bali wakati mwingine unahitaji mtu mwenye utaalamu mkubwa na aliyebobea katika kukusaidia kiufahamu na namna ya kuendesha biashara yako na hatimaye ifikie mafanikio makubwa unayoyahitaji.
Kwa kupitia makala hii napenda kukushauri kuwa na mshauri bora na mwenye kuijua biashara zaidi na mwenye ufahamu wa masuala ya masoko, ili aweze kuwa msaada kwako zaidi katika kila eneo la biashara yako na kukusaidia kukupa utaalamu wa namna ya kufanya.
Angalizo: Ni vyema uwe makini na mwangalifu dhidi ya watu unaoweza kuwaweka binafsi kuwa kama sehemu ya huduma hii ya ushauri katika biashara yako, pasipo kuzingatia ufanisi na undani wao wa kuwajua.

- Uza kile wateja wako wanataka:
Usiangazie tu kile unachotaka. Usipotafakari kuhusu wateja wako,kuna uweza wa kutonunua bidhaa yako. Hakikisha unatafiti soko ili kujua kama huduma au bidhaa yako ni ya maana na nafuu kwa uwezo wa wateja. - Andika mpango wa biashara:
Hii ni njia moja ya kuwavutia wawekezaji na watoa huduma za kifedha kwa biashara yako. Mpango mzuri wa biashara pia hukusaidia kuweka rekodi zilizo na maelezo zaidi kuhusu ruwaza na malengo yako. Andikda mpango wa biashara. - Uujue uwezo wako:
Angazia sana sana yale unayoyafanya vizuri na uwache mengine. Hustahili kujua majibu yote wala kukusanya maswala yote .Kuwa mwaminifu kwa yale unayoweza kutekeleza na yale usiyomudu kutekeleza. Kumbuka, ni vizuri kuomba msaada iwapo hujui kitu Fulani. - Fanya utafiti wako:
Tumia madarasa, hafla au semina, vitabu na kanda ili kujifunza yale unayoweza kabla hujaanza biashara.Kama hujui chochote kuhusu uendeshaji wa biashiara, kuna mafunzo mengine ya malipo ya chini, vitabu na kanda.Jaribu maktaba ya mahali pale unapoishi ama hifadhi ya vitabu, na uulize yale yote usiyoyafahamu kuhusu soko, nguvu na uwezo wako, mahali halisi na yale watu wanataka. - Tegemea juhudi zako:
Unahitaji kuwa macho katika bajeti yako, la sivyo, utaishia katika madeni makubwa ama utoweke kutoka biasharani haraka sana. Kama huwezi kupata kila kitu unachokiitaji sasa hivi, wachana nacho na ufikirie zaidi kuhusu mpango wako. - Unda mpango wa mauzo:
Hili ndilo swala nyeti la kuwavutia wateja wako. Toa ramani ya jinsi ya kupata wateja wa kutumia bidhaa au huduma yako na namna utakavyowasawishi warejee. Unastahili kujiuza ili watu wakujie. - Huwezi kushughulikia biashara peke yako:
Unapokuwa na watu wengi wa kukusaidia na vitu “vidogovidogo”,ndivyo utakavyochukua muda mwingi kunawiri biashara yako. Usiogope kuomba usaidizi na ushauri kutoka kwa rafiki zako na hata watu wa familia.
Hakuna Mfanyabiashara au Mjasiriamali asiyehitaji kufanikiwa katika biashara yake na hatimaye kufikia Mafanikio makubwa, yatakayompa nafasi ya kuzidi kudumu sokoni na zaidi kukuza mauzo ya biashara yake kwa kipindi kirefu.
Hivyo ndivyo kila mtu anayefanya biashara hutamani kufikia, hasa katika kufikia malengo yake makubwa katika kuona ongezeko la juu la mauzo na ongezeko la wateja na zaidi kufikia kuwa na faida maridhawa katika biashara yake.
Yapo mambo mengi tunayoweza kufanya na kuyazingatia kila siku katika kuboresha na kukuza soko la biashara zetu tulizonazo; lakini katika hayo yote unayoyafahamu nataka nikuongezee jambo lingine muhimu zaidi linaloweza kuwa ni msaada mwingine mkubwa kwako nje ya namna ulivyofikiri hapo kwanza.
Kwani naamini mpaka sasa umekuwa ni mtu unayejua mbinu nyingi mbali mbali za kibiashara, na ambazo zimekuwa msaada tosha na mzuri zaidi wa biashara yako na hata kukufanya uzidi kudumu zaidi katika biashara uliyonayo.
Lakini nataka nikuambie lipo jambo moja ambalo hadi sasa ni la muhimu kwa ajili ya biashara yako na ambalo hadi sasa hujalitilia maanani kulifanya ili likusaidie katika kudumisha uendelezi na ukuaji zaidi wa biashara uliyonayo.
Nataka nikuambie utakapokuwa tayari kulifanyia kazi jambo hili ninalokwenda kukuambia muda huu, amini kabisa biashara yako haitabakia nyuma tena kama hapo kwanza ilivyokuwa.
Pamoja na kuwa na mbinu nyingine nyingi ulizonazo na zinazokusaidia katika kukuza na kuendeleza biashara yako, ila ni muhimu pia ufanye jambo hili ambalo ni la muhimu zaidi katika kukusaidia kutengeneza mafanikio makubwa ZAIDI ya biashara yako.
Jambo hili ni “kutafuta mshauri mkuu (mentor) wa biashara yako.” Kama kweli unahitaji kufikia mafanikio makubwa katika biashara yako ni muhimu zaidi utafute mshauri wa kukushauri kila mara kuhusu uendeshaji na uendelezi wa biashara yako.
Hakuna biashara yoyote inayoweza kufikia mafanikio makubwa na mazuri pasipo kubebwa na ujuzi na utaalamu mkubwa nyuma yake. Hivyo na wewe pia unahitaji kufikia hatua ya kufanya hivyo ili kupanua wigo mkubwa zaidi wa biashara yako.
Fahamu ya kuwa biashara ni kama mtoto aliyezaliwa jana na anayehitaji kukua kila siku na kufikia kujiendeleza mwenyewe, na daima haitaji kuingiliwa katika misingi ya ukuaji wake nje ya utaratibu uliopo.
Hivyo basi unahitaji utaalamu na umakini wa hali ya juu zaidi katika kuhakikisha unajenga mafanikio makubwa katika biashara yako, hasa kwa njia ya kuwa na mtu atakayekushauri kitaalamu kila wakati kwa ajili ya biashara yako husika.
Unaweza ukawa unajiuliza swali. Ni kwa nini awe ni mtu mwingine tofauti na wewe? Hii ni kwa sababu moja kubwa tu ni kwamba, wewe hujui kila kitu.
Si kila kitu au jambo unaweza ukawa unalijua au kulifanya, bali wakati mwingine unahitaji mtu mwenye utaalamu mkubwa na aliyebobea katika kukusaidia kiufahamu na namna ya kuendesha biashara yako na hatimaye ifikie mafanikio makubwa unayoyahitaji.
Kwa kupitia makala hii napenda kukushauri kuwa na mshauri bora na mwenye kuijua biashara zaidi na mwenye ufahamu wa masuala ya masoko, ili aweze kuwa msaada kwako zaidi katika kila eneo la biashara yako na kukusaidia kukupa utaalamu wa namna ya kufanya.
Angalizo: Ni vyema uwe makini na mwangalifu dhidi ya watu unaoweza kuwaweka binafsi kuwa kama sehemu ya huduma hii ya ushauri katika biashara yako, pasipo kuzingatia ufanisi na undani wao wa kuwajua.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment