» » MAPOKEZI YA KATIBU MKUU UVCCM NDG. LULANDALA MKOANI MTWARA


๐Ÿ“Mtwara. 
๐Ÿ—“ Novemba 22, 2023.

Picha ๐Ÿ“ธ
Mapokezi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM *Ndg. Faki Raphael LULANDALA (MNEC)* mara baada ya kuwasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Mtwara Tarehe 22 Novemba, 2023. 

Ndg. Lulandala yupo mkoani Mtwara ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake ya kutembelea Makundi ya Vijana na Kufanya Kikao Kazi na Watendaji wa UVCCM Wilaya na Mikoa ya Mtwara na Lindi.

#KaziIendelee 
#UVCCMKazini 
#KulindaNaKujengaUjamaa 
#SisiNaMamaMleziWaWana

Imetolewa na; 
*Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa*

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles