Hasira zinaweza kuwa ni sababu ya mwili kukosa nguvu.
๐๐ฝ♀️ Kutoona vizuri : Ugonjwa huu husababisha mtu kushindwa kuviona vitu vizuri.
๐ฃTatizo hili hutibika lakini mara nyingine hali huweza kuwa mbaya kiasi cha kuwa na tatizo la kudumu au kupata upofu .(๐๐ถ๐ฎ๐ฏ๐ฒ๐๐ถ๐ฐ ๐ฟ๐ฒ๐๐ถ๐ป๐ผ๐ฝ๐ฎ๐๐ต๐)
๐๐ฝ♀️ Vidonda kutopona vizuri au haraka: Unapokuwa na sukari nyingi katika damu, uwezo wa mwili kuponya vidonda hupungua .
๐๐ฝ♀️ Magonjwa ya ngozi:
Mwili wenye sukari nyingi ndani ya damu huwa na uwezo mdogo sana wa kujiponya kutokana na maambukizi ya wadudu. ๐ฃWanawake wenye kisukari huwa na maambukizi zaidi na hupata shida kubwa ya kuponya maambukizi ya sehemu nyeti za miili yao.
๐๐ฝ♀️ ๐uwashwa kwa ngozi :
Kuwashwa kwa ngozi mara nyingine ni dalili ya kuwa na kisukari .
๐๐ฝ♀️ Kuwa na fizi nyekundu au zilizovimba :
Fizi nyekundu na/au zilizovimba huweza kuwa ni dalili ya kuwa na ugonjwa wa kisukari, na mara nyingine meno hulegea.
๐๐ฝ♀️ Uwezo mdogo wa kushiriki tendo la ndoa: Hili ni t…
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment