π€·π»♀️Kama ugonjwa wa kisukari hautadhibitiwa ipasavyo, madhara makubwa huweza kutokea.
ππΎ Baadhi ya madhara ambayo yamehusishwa na ugonjwa huu ni kama ifuatavyo:
π«΅πΌMatatizo ya macho-glaucoma, π«΅πΌ cataracts na mengineyo.
π«΅πΌMatatizo ya miguu-vidonda na gangrene ambavyo mara nyingine husababisha miguu ikatwe.
π«΅πΌMatatizo ya moyo -pamoja na upungufu wa damu inayoelekea kwenye misuli ya moyo.
π«΅πΌ Hypertension -ambayo huweza kulsababisha figo kushindwa kufanya kazi, matatizo ya macho , magonjwa ya moyo na kiharusi .
π«΅πΌMatatizo ya kusikia -kisukari husababisho tatizo la kushindwa kusikia vizuri.
π«΅πΌ Gastroparesis -misuli ya tumbo kushindwa kufanya kazi yake vizuri.
π«΅πΌ Kiharusi (Stroke)-endapo blood pressure, cholesterol na sukari havitadhibitiwa, uwezekano wa kupatwa na kiharusi huwa ni mkubwa sana.
π«΅πΌ Ugumba- kisukari humfanya mgonjwa ashindwe kufanya tendo la ndoa.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI
No comments:
Post a Comment