» » je, walao nyama ya ngurue wapo salama??

Watu wengi sana na mabishano mengi sana kuhusu ulaji wa vyakula na visivyo vyakula umeshamili na kufikia kiwango cha juu sana. Hebu leo tuchambue maada ya vyakula.

Kwa maelezo zaidi kuhusu vyakula gusa link hii
👇👇👇
*https://youtu.be/xRk5j_zl-HY*
👆👆👆
*Hebu tuchambue kuhusu vyakula*
.
.
Je, kuna vyakula na visivyo vyakula (uchafu)????? 🤔🤔🤔
.

Mpendwa kabla hatujaenda mbali zaidi kwanza kabisa tufahamishane kuhusu maneno haya matatu 
1. Vitu najisi (kitu najisi)
2. Vyakula najisi (chakula najisi)
3. Vyakula

Vitu najisi ni vitu vyovyote vichafu mfano kinyesi, paka, panya, uozo au mzoga nk

Vyakula najisi ni vitu vyovyote VILIVYO RUHUSIWA KULIWA LAKINI VIKAINGIWA NA UCHAFU. HIVYO VINAITWA VYAKULA NAJISI

Vyakula ni vyovyote vile vilivyo ruhusiwa kuliwa kibiblia

Pili tufuate na historia ya vyakula 
.
        Hapo mwanzo kabla ya dhambi kuingia mwanadama aliruhusiwa kula mboga na matunda tu mwanzo 1:29  ""MUNGU akasema, tazama, nime wapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu, vitakuwa ndivyo chakula chenu""""""". Lakini baada ya dhambi Mungu alimuongezea wanadam chakula aina nyingine ambacho ni nyama lakini nyama hizi sio kila nyama ni chakula 
                             1 koritho 15;39""" nyama yote si nyama moja ila nyingine ni ya wanadam, nyingine ya hayawani, nyingine ya ndege nyingine ya samaki.
                             Sasa basi utambuzi wa kutambua kuwa hii nyama ni chakula na hii nyama sio chakula (najisi) tangu zamani ilitumia kanuni zilizo walawi 11 
.
.
.
Kwa wanyama wa nchi kavu wanyama watakao liwa au wanyama chakula ni wale wote wenye sifa mbili ambayo """""""""kwanza awe na kwato katika miguu na iliyopasuka kati pili awe mwenye kucheua""""""
Akikosa sifa moja au zote hapaswi kuliwa na mnyama huyo hakuitwa chakula bali aliitwa najisi au kitu najisi kwa maelezo zaidi walawi 11;1-8 katika kucheua inapaswa awe anacheua kama ng'ombe, mbuzi, kondoo nk pia awe anakwato kama za ng'ombe au mbuzi nk akikosa sifa moja hakuitwa chakula bali aliitwa najisi au uchafu
.
.
.
.
Kwa walio majini shariti awe nasifa mbili, kwanza awe na mapezi  (matamvua) kama ya kambale au dagaa au magege pili awe na magamba kama ya magege au dagaa akikosa sifa moja au zote hakuitwa chakula bali aliitwa najisi au uchafu walawi 11;9-12
.
.
Pia katika ndege kunawengine ni chakula na wengine ni najisi au uchafu walawi 11;13-19 
            Pia katika wadudu walawi 11; 20-23
   Kwa hiyo ukisoma walawi 11 utagundua kipi kiliitwa chakula na kipi kiliitwa uchafu au najisi waweza pia kusoma mwanzo 7;2,3 mwanzo 8;20 walawi 7;21 
          Kumbukumbu 14;8" """" na nguruwe kwa kuwa amepasuliwa kwato, lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala msiguse mizoga yao"""""" 
               Waamuzi 13;4,7,14 """"""" basi sasa jihadhalini, nakuomba, usinywe divai wala kileo, wala #USILE #KITU #KILICHO #NAJISI 7 lakini aliniambia tazama utachukua mimba, nawe utazaa mtoto mwna mume basi usinywe divai wala kileo WALA USILE KITU KILICHO NAJISI 14 .................ASILE KITU CHOCHOTE KILICHO NAJISI
                     hapa 👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆👆 tunaona nyama najisi haikuitwa chakula bali aliitwa kitu najisi 
.
.
.
.
.
.
                         ðŸ¤”🤔🤔 🤔🤔🤔 🤔🙄 🙄🙄 hebu tutazame agano jipya 🙄🙄 🙄🙄 🙄🤔🤔🤔 🤔🤔 🤔🤔
.
.
tusome kwanza mathayo 15;1-20 pia malko 7:1-23 
                   hebu tuichambue mafungu hayo 👆👆 katika marko 7;1-5 hapa mafalisayo na waandishi walikuwa na sheria kuwa mtu usiponawa mikono mpaka kiwikoni au wakitoka sokoni wasipo tawadha hawali chakula. Kwa hiyo yapo mambo mengine waliyopokea kuyashika kutoka kwa babu zao. Ikitokea mtu anakula bila kunawa hadi katika kiwiko au katoka sokoni haja tawadha na kuanza kula basi mtu huyo anakichafua chakula au anakinajisi chakula na kukifanya kuwa uchafu na kuwa sio chakula tena. Mfano ukila ndizi au ugali au wali au nyama ya ng'ombe au nyama ya mbuzi bila kunawa hadi kiwiko hicho chakula hugeuka kuwa uchafu au kitu najisi ndio maana kwa mapokeo hayo mafalisayo waliwashitaki wanafunzi wa Yesu kwa mapokeo ya kunawa hadi kiwiko. 
.
.
.
.
Sasa Yesu akawaambia marko 7;15 "hakuna kitu kilicho nje ya mtu kikimuingia chaweza kumtia unajisi bali vile vitokavyo ndivyo vimtiavyo unajisi mtu yule"  tukumbuke kuwa kiingiacho hapo ni chakula kinasemwa hapa marko 7;18 ............kila kilichonje ya mtu kikimwingia hakiwezi kumtia mtu unajisi kwa sababu hakimwingii moyoni ila tumboni tu na kwenda chooni #kwa #kusema #hivyo #ALIVITAKASA #VYAKULA #VYOTE"""""""" marko 7;19. Sasa basi, viingiavyo mdomoni kupita tumboni baadae chooni ni vyakula tu. Mfano ndizi, ugali, parachichi, wali, nyama ya ng'ombe, nyama ya mbuzi nk. Na sio vitu najisi au vitu vichafu kama vile panya, nyama ya binadam, nyama ya nguruwe, nyama ya mbwa nk hivi havikuitwa vyakula tangu wanzo bali viliitwa vitu najisi au vitu vichafu walawi 11;41 "" na kila kitu kitambaacho juu ya nchi ni machukizo hakita liwa 43 "" msifanye nafsi zenu kuwa ni machukizo kwa KITU CHOCHOTE CHENYE KUTAMBAA, kitambaacho, wala msifanye nafsi zenu kuwa ni najisi kwa VITU HIVYO, mkajipatia uchafu kwa VITU HIVYO. vilivyotakaswa ni vyakula ambavyo ukila bila kunawa hadi kiwiko vyakula hivyo viligeuka kuwa uchafu kutokana na sheria za wayahudi walizozipokea kwa mababu zao soma tena marko 7:1-5 au mathayo 15:1-2 kwa hiyo kwa sasa hata ukila bila kunawa chakula kinabaki safi tu maana Yesu alikitakasa hatuna tena mashariti ya kutawaza au kunawa 
.
.
.
.
             Sasa basi kimtokacho mtu kwa akili ya kibinadamu na tafsili ya kibinadamu ni """""" MATAPISHI"""""" lakini kwa tafsili ya kibiblia na kimbingu vimtokavyo mtu na ndivyo vimtiavyo  unajisi ni mathayo 15;18-20 """"""" bali vitokavyo kinywani vyatoka moyoni ( na sio tumboni kama binadamu anavyo fikili) navyo ndivyo vimtiavyo mtu unajisi kwa maana moyoni hutoka mawazo mabaya uuaji, uzinzi, uasherati ............ Hayo ndiyo yamtiayo mtu unajisi lakini kula kabla ya kunawa mikono hakumtii mtu unajisi pia soma marko 7;21-23 kwa maana ndani ya mioyo ya watu hutoka mawazo mabaya uasherati, wizi, uuaji ............. Haya yote ndiyo yaliyo maovu yatokayo ndani nayo yamtia mtu unajisi "marko 7;19
.
.
.
.
.
                         Tukumbuke kuwa isaya aliona siku ambayo Mungu atarudi kuihukumu dunia isaya 66:16,17 .......... Watakao uwawa na Bwana watakuwa wengi. Pia hata yohana katika ufunuo 19;11-21 naye anasema watauwawa wengi siku hiyo  lakini isaya 66;16,17 anaongezea kuwa watakao uwawa na Bwana siku hiyo ni pamoja na wale wote walao nguruwe, panya, na machukizo ambayo tangu mwanzo haikupaswa kuliwa 
.
.
.
.
               #WITO 
.
.
.
 2 korintho 6;17 
             """"""" kwa hiyo Tokeni kati yao; mkatengwe nao, asema Bwana msiguse kitu kilicho kichafu, nami nita wakaribisha

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...