Kiwango cha ushawishi chanya wa Marekani umeonekana kuendelea kushuka haraka kuliko nchi yoyote, kwa mujibu wa utafiti mpya uliofanywa na Ipsos MORI.
Organisation hiyo ya Kimataifa iliwatafiti watu wazima 18,055 kutoka katika nchi 25 ambapo iliwauliza Taifa gani na Taasisi gani ya Kimataifa (zikiwemo EU na UN) zilizokuwa na ushawishi mkubwa duniani.
Wengi walionesha kujibu Canada kuwa na ushawishi chanya duniani ambapo inawafanya kupata 81% na kuwa kinara ikifuatiwa na Australia katika nafasi ya pili ikiwa na 79%. Marekani ikamata nafasi ya 9 ikiwa na 40%.
Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
No comments:
Post a Comment