» » Punda watumiwa kuiba magari kutoka Afrika Kusini kwenda Zimbabwe

Haki miliki ya pichaSOUTH AFRICAN POLICE SERVICEImage captionPunda watumiwa kuiba magari kutoka Afrika kusini kwenda Zimbabwe

Polisi nchini Afrika Kusini wametibua jaribio la kulisafirisha gari moja la kifahari lililokuwa limeibwa kwenda nchini Zimbabwe kwa kutumia punda kupitia mto Limpopo.

Washukiwa walitoroka kwenda vichakani kueleka upande wa zimbabwe baada ya jitihada zao za kulikwamua gari hilo kutoka kwenye mchanga kushindikana.

Disemba iliyopita gari lililokuwa limeibwa kutoka mjini Durban lilipatikana mtuo huo huo likiwa limefungiwa kwa kutumia kamba kwa kundi la punda.

Polisi wakamata ngozi 5000 za punda Afrika KusiniNiger yazuia mauzo ya nje ya pundaBurkina Faso kuathiri soko la Punda,Asia

Polisi wanachunguza ikiwa kuna genge linalohusika na wizi huo.

Mto Limpopo ndio mpaka kati ya Afrika Kusini na Zimbabwe na ni maarufu kama njia wanayopitia wahamiaji haramu kati ya nchi hizo mbili, lakinia ataraiga za mto huo kutumia kupitisha magari yaliyobwa bana za kushagza.

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...