Image captionMiili ya wanajeshi wa uganda yawasili nyumbani
Miili ya wanajeshi 12 wa Uganda waliouawa nchini Somalia siku ya Jumapili imesafirishwa nyumbani.
Shere ya kijeshi ilifanyika wakati miili hiyo iliwasili uwanja wa ndege wa Entebbe.
Museveni amteua mwanawe kuwa mshauri
Familia zilifika na wengine walikuwa na husuni wakati ndege ilitua uwanjani.
Image captionMiili ya wanajeshi wa uganda yawasili nyumbani
Wanajeshi wa Uganda huchukua asilimia kubwa ya kikosi cha Amisom kinachoiunga mkono serikali ya Somalia katika vita dhidi ya al-Shabab.
Wanajeshi wa AU waliouza mafuta Somalia wafungwa
Hao ndio wanajeshi wengi zaidi wa Uganda kuuliwa nchini Somalia tangu mwaka 2015 wakati wanajeshi 19 waliuliwa wakati wa shambulizi la al-Shabab.
Image captionMiili ya wanajeshi wa uganda yawasili nyumbani
No comments:
Post a Comment