» » Waliomuingiza mtu mweusi kwenye jeneza mahakamani Afrika Kusini

Willem Oosthuizen na Theo Jackson

Image captionWillem Oosthuizen na Theo Jackson
Wakulima wawili weupe watafikishwa mahakamani nchini Afrika Kusini , baada ya kutuhumiwa kuwa walimsukuma mtu mmoja mweusi na kumuingiza ndani ya jeneza, huku wakitishia kumwagia mafuta ya petroli na kumteketeza moto, akiwa hai.
Wakati Victor Mlotshwa alipokataa, wakulima hao walimtishia kuwa watamweka ndani ya jeneza hilo pamoja na nyoka.
Wakati Victor Mlotshwa alipokataa, wakulima hao walimtishia kuwa watamweka ndani ya jeneza hilo pamoja na nyoka.Haki miliki ya pichaYOUTUBE
Image captionWakati Victor Mlotshwa alipokataa, wakulima hao walimtishia kuwa watamweka ndani ya jeneza hilo pamoja na nyoka.
Washtakiwa hao Willem Oosthuizen na Theo Jackson, walikamatwa mwezi Novemba mwaka jana, baada ya video ya kitendo hicho kilipowekwa mitandaoni.
Walisema kuwa, Bwana Mlotshwa alipitia kwenye shamba lao liliko katika jimbo la Mpumalanga, bila ya kuwa na idhini, na walikuwa wakimuadhibu.
Katika kusikizwa kwa kesi hiyo awali, jaji wa mahakama alisema kuwa wakulima hao walikuwa wakatili na waliojaa tabia za ubaguzi wa rangi.
Victor MlotshwaHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionVictor Mlotshwa

Mada zinazohusiana


Tuma picha/ habari what-sap 0769436440

BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...