» » Hii ndio Manowari ya Uingereza kuanza kufanyiwa majaribio leo

HMS Queen Elizabeth ndiyo meli kubwa zaidi kuwai kuundwa kwa jeshi la wanamaji la Uingereza

Haki miliki ya pichaBBC SPORT
Image captionHMS Queen Elizabeth ndiyo meli kubwa zaidi kuwai kuundwa kwa jeshi la wanamaji la Uingereza
Manowari mpya ya Uingereza inatarajwa kuanza majaribio ya baharini leo.
HMS Queen Elizabeth ndiyo meli kubwa zaidi kuwai kuundwa kwa jeshi la wanamaji la Uingereza iliwa na uwanja wa ndege wenye ukubwa wa viwanja vitatu vya soka.
Meli hiyo ni kubwa hadi itahitaji kusubiri kushuka kwa viwango vya maji kuweza kupititia eneo la Forth bridges.
Mashua zingine zitahitaji kuisindikiza meli hiyo kutoka ilikotia nanga huko Scotland.
Hata hivyo itachukua miaka kabla kabla ya manowari ya HMS Queen Elizabeth kuanza kutumiwa na kubeba ndege.

Mada zinazohusiana



Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS

tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles