» » Rais wa TFF akamatwa Tanzania kwa madai ya rushwa

Jamal Malinzi

Haki miliki ya pichaOTHER
Image captionJamal Malinzi amekuwa rais wa TFF tangu mwaka 2010
Rais wa shirikisho la kandanda nchini Tanzania (TFF) Jamal Malizia, amekamatwa na taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa nchini humo.
Alikamatwa pamoja na katibu wa TFF Selestine Mwesigwa.
Wawili hao walizuiliwa usiku kucha.
Msemaji wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Musa Misalaba aliongeza kuwa wawili hao watabaki kizuizini hadi wahojiwe.
Kukamatwa kwao kunajiri baada ya uchunguzi wa siku nyingi.
Misalaba alisema kuwa idara hiyo inaendelea kuwachunguza maafisa waengine kwa madai sawa na hayo.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440



BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS




tupe maoni yako

Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About IVST TANZANIA

Hi my name is Gasto Alex Didas
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...

Popular Articles