» » Kampuni yakiri kutoa dola bilioni 3 kama rushwa Brazil


Rais Temer amesema kashfa hiyo imetengenezwa na wanasiasa wasiompenda
Image captionRais Temer amesema kashfa hiyo imetengenezwa na wanasiasa wasiompenda
Kampuni kubwa duniani ya kusindika nyama iliyopo nchini Brazil, imekubali kwamba iliilipa serikali ya nchi hiyo kiasi cha zaidi ya dola Bilioni tatu katika kile kinachotajwa kuwa ni rushwa kubwa zaidi nchini humo.
Waendesha mashitaka nchini humo wanasema kuwa faini hiyo ilikuwa kubwa kupitiliza.
Waandamanaji wanataka Rais Temer kuachia madaraka kwa kashfa hiyo
Image captionWaandamanaji wanataka Rais Temer kuachia madaraka kwa kashfa hiyo
Mmoja wa wamiliki wa kampuni hiyo Joesley Batista anatuhumiwa kupanga njama na Rais Temer ili kupoteza ushahidi.
Rais Temer amesema kamwe hatoachia madakara kwa kashfa hiyo ambayo anadai ni ya kutengenezwa.

Tuma picha/ habari what-sap 0769436440


BONYEZA HAPA KUPATA APP YA 4SN NEWS


tupe maoni yako

Pakua App Yetu-Bofya Hapa Flower
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

About 4sn News

Hi my name is Gasto Alex Didas from Mwanza Tanzania I'm blog manager and I have an App which is called 4sn News, my office is located in Rock City Mwanza-Tanzania at Miembeni "B" Street. My contacts +255769436440/ +255659750504 Welcome.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Popular Articles

MBUNGE MABULA AKAGUA SHULE NNE MPYA ZA MSINGI, ZENYE THAMANI YA TSH 1.174 BIL, ASHAURI HALMASHARI KUTUMIA MCHORO MPYA WA TAMISEMI KUOKOA MADARASA 3 KILA SHULE

Mhe. Stanslaus Mabula Mbunge Jimbo La Nyamagana amefanya ziara ya kikazi katika Kata nne za halmashauri ...